Viwango vya dunia
Mumo uliounganishwa ambao umekidhi viwango vya dunia na unaweza kuunganishwa na mfumo wowote duniani.
OTAPP inajitambulisha kama kampuni ya teknolojia yenye kuleta mapinduzi uwekaji wa tiketi za basi mtandaoni nchini Tanzania na jukwaa la ukataji la matukio nchini Tanzania. Tangu kuanzishwa kwetu kama mojawapo ya mifumo bora zaidi ya tiketi za basi mwaka 2014, tumejivunia kupanuka kama kampuni ya teknolojia ya utoaji wa tiketi kwa huduma nyingine mbalimbali ikiwa ni pamoja na matukio, filamu, hoteli, mabasi, ndege an burudani.Otapp inakubalika na kupendelewa katika soko la sasa kwa suluhu zake za upataji tiketi za aina tofauti zinazomfaa mtumiaji.
Kama wafumbuzi wabunifu wa ukataji tiketi mtandaoni nchini Tanzania. Watumiaji wetu wanaweza kufurahia ufikiaji wa huduma mbalimbali za tiketi, huku wakiweka nafasi na kulipa chini ya jukwaa moja. Si hivyo tu! Tunaruhusu wanaotembelea tovuti yetu kuokoa pesa wakati kwa kuhifadhi tiketi mtandaoni na tunawapa wamiliki wa biashara faida ya kufikia soko lisilo na kikomo na kuzidisha mauzo.
Mumo uliounganishwa ambao umekidhi viwango vya dunia na unaweza kuunganishwa na mfumo wowote duniani.
Tunatafuta njia za kuboresha huduma tunazotoa kulingana na teknolojia inayobadilika kila wakati.
Tumejitolea kukidhi mahitaji na matarajio ya wateja wetu kwa kuridhika kwao.
Tunatoa hifadhi za bei nafuu, zinazomfaa mtumiaji mtandaoni na kwenye suluhisho za tiketi.
Biashara yetu inathamini ufaragha na kutofichuliwa kwa maelezo ya wateja wetu kwa wahusika wengine.
Mkurugenzi Mkuu
Mkurugenzi wa Operesheni
Mfumo wetu umetengenezwa kuzinagtia soko la ndani. Hautakwama ukiwa unahifadhi tiketi na Otapp. Tunakuahidi utarudi kwetu
Furahia urahisi unavyopanga hifadhi ya tiketi mtandaoni na kulipa. Una hofu juu ya kununua tiketi nyingi? Lipia na kadi yako
Malipo yako yako salama nasi kwenye mfumo wetu, pata tiketi kwa haraka kwenye kifaa chako cha kieletroniki. Yaweza kuwa bora zaidi ya hii?
Tunatoa ofa bomba kwa huduma unayolipia, iwe ni burudani au usafiri, okoa pesa na muda ukiwa nasi
Enter the verification code we just sent on your
mobile number
Complete your profile to make your booking faster.